Tuesday 16 May 2017

PICHA: YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA 26, MKUTANO WA SABA BUNGE LA 11 MJINI DODOMA LEO MAY 16, 2017



Mwenyekiti wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Azzan Zungu akitafakali jambo wakati akiongoza    kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.


Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali James Mwakibolwa akizungumza jambo na Mkuu wa Jeshi la Kujenga Taifa Meja Jenerali Michael Isamuhyo katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma.


Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Jenerali Venance Mabeyo na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi Luteni Jenerali James Mwakibolwa wakizungumza jambo na Viongozi mbalimbali wa Vyombo vya Ulinzi na Usalama leo katika viwanja vya Bunge leo Mjini Dodoma.


Mbunge wa Kavuu(CCM) Mhe,Dkt Pudencia Wilfred akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.


Naibu Waziri Ofisi ya Rais –TAMISEMI Mhe.Suleiman Jafo akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.


Mbunge wa Muhambwe (CCM) Mhe,Eng Atashasta Justus akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017

 

Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Josephine Genzabuke akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017

 

Waziri wa Afya,Maendeleo ya Jamii,Jinsia,Wazee na Watoto akifafanua jambo katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.


Naibu Waziri wa Kilimo,Mifugo na Uvuvi Mhe.William Ole Nasha akizungumza jambo na Naibu Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Afrika Mashariki Mhe.Suzan Kolimba na Naibu Waziri wa Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe.Angela Mabula katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017


Naibu Waziri  wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasiliano Mhe.Edwin Ngonyani  akijibu maswali mbalimbali ya wabunge katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017.


Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Martha Mlata akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 16 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017


Mbunge wa Viti Maalum (CCM) Mhe.Halima Bulembo  akiuliza swali katika  kikao cha Ishirini na Sita cha Mkutano wa saba wa Bunge la 11 leo Mjini Dodoma Mei 11 leo Mjini Dodoma Mei 16, 2017






No comments:

Post a Comment