Sunday, 27 November 2016

AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI KUNDI LA 59/15 IKULU JIJINI DSM







Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 26, 2016





Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua gwaride la heshima linaloundwa na Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) kabla hajawatunuku kamisheni katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 26, 201





Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini kwenye hati  ya  kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) kabla hajawatunuku katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 26, 201


Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea baada ya kutunuku  kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 26, 201



Friday, 25 November 2016

WAZIRI WA MICHEZO NAPE NNAUYE AKATAA MAMLUKI SHIMMUTA



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akizungumza na washiriki wa mashindano ya SHIMMUTA wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo Novemba 24, 2016 yanayofanyika Jijini Tanga


Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akicheza muziki aina ya kwaito pamoja na wachezaji na viongozi wa timu shiriki wakati wa sherehe za uzinduzi wa mashindano ya SHIMMUTA yanayofanyika Jijini Tanga

Thursday, 24 November 2016

WAZIRI WA UJENZI PROF MAKAME MBARAWA ATEMBELEA TEMESA.



 Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa (aliye simama) akiongea na baadhi ya watumishi wa Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) katika ukumbi wa karakana ya MT. Depot alipotembelea wakala huyo mapema jana.


Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa (kulia) akiongea na baadhi ya wajumbe wa menejimenti ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) alipotembelea wakala huo mapema jana. KushOto ni Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu. 


 Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa (kulia) akisikiliza maelezo ya dereva wa serikali aliepeleka gari lake katika karakana ya Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) MT. Depot iliyoko Dar es Salaam kuhusu ubora wa huduma pamoja zinazotolewa alipotembelea na kukagua karakana hiyo jana.


Waziri wa Ujenzi Uchukuzi na Mawasiliano Mhe. Profesa Makame Mbarawa (kushoto) akiongea na Mafundi wa karakana ya  Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) MT. Depot iliyoko Dar es Salaam alipotembelea  na kukagua karakana hiyo jana.

Sunday, 20 November 2016

TANESCO KIGOMA YADAIWA MILLIONI 49 NA TEMESA



MtendajiMkuuwaWakalawaUfundinaUmeme TEMESA Dkt. MussaMgwatu ( kushoto) akizungumza na Meneja wa TEMESA Kigoma Mhandisi Hassan Karonda (kulia) alipotembelea kituoni hapo.



Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu( mwenyeshaji la rangi yabluu) akijadili jambo na mafundi wa karakana ya TEMESA Kigoma alipotembelea kituoni hapo kujionea utendaji kazi.



Mtendaji Mkuu wa TEMESA Dkt. MussaMgwatu (aliyeketi) akisikiliza maelezo kutoka kwa Mtaalam James Frank jinsi mfumo wa kielektroniki wa kukatishia tiketi katika kivuko cha Ilagala Mkoani Kigoma unavyofanya kazi.


Mtendaji Mkuu wa Wakala wa Ufundi na Umeme TEMESA Dkt. Mussa Mgwatu (wa pili kulia) akiongozana na Meneja wa TEMESA Kigoma Mhandisi Hassan Karonda (kulia) baada ya kukagua kivuko cha MV. Malagarasi kinachotoa huduma ya usafiri katika Mto Malagarasi kati ya Ilagala na Kajeje mkoani Kigoma.

Friday, 18 November 2016

TANZANIA KUENDELEA KUSIMAMIA HISTORIA YA UKOMBOZI WA BARA LA AFRIKA





Serikali ya Tanzania itaendelea kuweka historia ya Ukombozi wa Bara la Afrika kwa kuhifadhi kumbukumbu zote huku ikitunza na kuweka alama maeneo ambayo yalitumika wakati wa kupigania Uhuru wa Bara la Afrika na kutunza makaburi ya wapigania uhuru hao pamoja na kuyafanya kuwa ya kihistoria.

Wednesday, 16 November 2016