88.9 STORM FM - GEITA

KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI. TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870

Pages

  • Home
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • BIASHARA NA UCHUMI
  • MICHEZO NA BURUDANI
  • AFYA
  • ELIMU

Wednesday, 30 November 2016

RWANDA YASHTUMIWA KUPANGA SHAMBULIZI LA KUTAKA KUMUUA MSAIDIZI WA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZIZA



Nchi ya Burundi imeishutumu Rwanda kwa madai ya kupanga kufanya majaribio ya kutaka kumuua msaidizi wa Rais Pierre Nkurunziza, Willy Nyamitwe.
Read more »
Posted by Unknown at 01:27 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Tuesday, 29 November 2016

WIZARA YA ELIMU YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOSAMBAA KUWA WANAFUNZI WA DIPLOMA KUTOJIUNGA NA VYUO VIKUU

                   
Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetoa ufafanuzi kwamba haijapiga marufuku watu wenye Stashahada wenye sifa kujiunga na vyuo vikuu badala yake walichokataza ni wanafunzi waliofeli kidato cha nne na cha sita kujiunga na vyuo vikuu bila kuwa na vyeti vyenye sifa.
Read more »
Posted by Unknown at 01:14 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

PICHA:WAZIRI NAPE KATIKA MAKABIDHIANO YA PICHA YA RAIS



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kabla ya makabidhiano ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli iliyochorwa na kikundi cha Angavu Youth Group  jijini Dar es Salaam. Picha hiyo imekabidhiwa kwa Waziri huyo  kwa niaba ya Mhe. Rais. kushoto ni Mwenyekiti wa Angavu Youth Group Bw. Athumani Salum na kulia ni Katibu wake Bi. Oliver Charles.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kulia) akisikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikisomwa na Katibu wa Angavu Youth Group Bi.Oliver Charles (katikati) wakati wa makabidhiano ya picha ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  jijini Dar es Salaam.



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kulia) akipokea picha ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutoka kwa Mwenyekiti wa Angavu Youth Group Athumani Salum (kulia)  jijjini Dar es Salaam. Picha hiyo imechorwa kwa ustadi na kikundi cha Angavu Youth Group.


Muonekano wa picha ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  iliyoichora kwa ustadi na kikundi cha Angavu Youth Group ambapo imekabidhiwa  jijini Dar es Salaam kwa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye kwa niaba ya Mheshimiwa Rais.



Posted by Unknown at 00:47 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

RAIS DKT.MAGUFULI AMWANDALIA RAIS EDGAR LUNGU DHIFA YA KITAIFA IKULU JIJINI DSM


 Rais Mstaafu wa awamu ya Pili AlhajAli Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.
  Rais Dkt John Pombe Magufuli na  Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu kwa dhifa hiyo ya kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.
 Meza kuu ikiwa imesimama kwa Wimbo wa Taifa
 Rais Dkt Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Edgar Lungu wa Zambia kusalimiana na viongozi mbalimbali
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi. Kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Naibu Spika Dkt Tulia Ackson
  
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe. Pius Msekwa

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bw. Gerson Msigwa akisherehesha hafla hiyo
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akigonganisha glasi na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan

 Wimbo wa Taifa 
 Viongozi wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa wa Zambia ukipigwa

 
 Viongozi wa vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na Mkuu wa Itifaki wa Zambia wakiwa wamesimama kwa wimbo wa Taifa 

 Sehemu ya Mawaziri waliohudhuria wakiwa wamesimama
 Viongozi wakiwa wamesimama
 Makatibu wakuu na sehemu ya ujumbe wa Zambia
 Wageni waalikwa na viongozi wa vyama vya siasa
 Baadhi ya mabalozi mbalimbali waliohudhuria
Wageni mbalimbali
 
 Mabalozi mbalimbali
 Mabalozi na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje 
Wafanyabiashara na viongozi wa taasisi mbalimbali
 
  Wafanyabiashara na viongozi wa taasisi mbalimbali na maafisa wa Wizara ya Mambo ya nje
 Viongozi wa taasisi mbalimbali
 Viongozi wa kidini na wageni mbalimbali

 Makatibu wakuu na Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace Mujuma

Rais Dkt Magufuli akigonganisha glasi na mgeni wake Rais Edgar Lungu wa Zambia
  
 Mrisho Mpoto na Banana Zorro na Mjomba band akitumbuiza

 Mrisho Mpoto akighani wimbo maalumu
 Rais Edgar Lungu akiagana na viongozi 
Rais Edgar Lungu akiagana na viongozi 
 
 Rais Edgar Lungu akiagana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein
Rais Edgar Lungu akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan
  
Rais Edgar Lungu akisindikizwa na mweyeji wake Rais Dkt Magufuli
 
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume wakiondoka baada ya dhifa
  

Rais Dkt. Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Rais Mstaafu Dkt.  Jakaya Mrisho kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakifurahia jambo mara baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es salaam.
Posted by Unknown at 00:36 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Sunday, 27 November 2016

AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI KUNDI LA 59/15 IKULU JIJINI DSM







Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 26, 2016





Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua gwaride la heshima linaloundwa na Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) kabla hajawatunuku kamisheni katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 26, 201





Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini kwenye hati  ya  kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) kabla hajawatunuku katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 26, 201


Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea baada ya kutunuku  kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 26, 201



Posted by Unknown at 07:44 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Posts Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)

Popular Posts

  • WALIMU SHULE YA MSINGI ISABILO WAGOMA KUFANYA KAZI
    Walimu  wa shule ya msingi Isabilo wilaya na Mkoa wa Geita wamegoma kufanya kazi tangu Januari 25 mwaka huu  kutokana  na kile kinachodaiw...
  • VIJANA NCHINI WAASWA KUWA WAZALENDO KWA NCHI YAO
    Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula(mwenye shati jeupe) akizindua Kitabu chenye jina la “Majipu ya Nchi Yetu” Tushirikiane kuya...
  • PM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHANGUO CHA URAFIKI NA KUKUTA MADUDUDU
      Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akizungumza na wafanyakazi na viongozi wa kiwanda cha nguo cha Urafiki cha jijini Dar es salaam baada...
  • KESI YA ALIYEMTUKANA RAIS MAGUFULI KUPITIA FACEBOOK KUSIKILIZWA KESHO JUNE 08 2016
    Kesi inayomkabili   Isaac Abakuk   ambaye anatuhumiwa kumtukana Rais John Magufuli kwenye ukurasa wake wa facebook April 1...
  • AJALI MBAYA YAUA NA KUJERUHI WATU KADHAA JIJINI DAR ES SALAAM.
    Ajali mbaya iliyohusisha daladala na malori mawili yaua watu kadhaa jijini dar es salaam ajali mbaya imetokea leo asubuhi eneo la...
  • PICHA:MAMA JANET MAGUFULI AMSHUKURU MTUMISHI WA MUNGU TB JOSHUA KWA KUUNGA MKONO JITIHADA ZAKE ZA KUSAIDIA WAZEE
    Mke wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mama Janeth Magufuli akisalimiana na Baadhi ya Viongozi wa Serikali, Chama na Wazee wa...
  • SHULE ZA SEKONDARI KIBONDO ZAONGOZA KWA UFAULU KITAIFA
    Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (Mb) akipokea Mwenge wa Uhuru baada ya kuwasili kwenye jimbo lake l...
  • NECTA YATANGAZA RASMI MATOKEO YA KIDATO CHA NNE.
    Baraza la mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2015 yanayoonesha kiwango cha ufaulu kushuka kwa a...
  • RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAJAJI WATATU LEO IKULU JIJINI DAR ES SALAAM
     Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimuapisha Jaji Ferdinand Wambali kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani, I...
  • WATU 522 WAMEATHIRIKA NA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB) MWAKA JANA WILAYANI GEITA
    Mganga Mkuu wa Mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM) Kiva Mvungi,akizungumza na waandishi wa habari juu ya ushiri wa mgodi katika kutokomeza ugoj...

Popular Posts

  • HII NDIO REKODI YA YANGA NA AZAM KUANZIA 2008-2016
  • HOFU, KUTOJIAMINI ZAPELEKEA UPOTEVU WA HAKI KWA WANAWAKE GEITA
    Baadhi ya wadau wa kupinga ukatili wa kijinsia kwa mwanamke wakiwa kwenye kikao cha pamoja kilichokuwa kimelenga kujadili sera na sheria y...
  • VYUO 20 VYAFUTIWA USAJILI NA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
    Leo June 8, 2018  Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limefuta usajili wa vyuo 20 kwa kushindwa kufuata utaratibu wa usaji...
  • SHULE ZA SEKONDARI KIBONDO ZAONGOZA KWA UFAULU KITAIFA
    Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (Mb) akipokea Mwenge wa Uhuru baada ya kuwasili kwenye jimbo lake l...
  • HAKUTA KUJA KUTOKEA UPUNGUFU WA SUKARI NCHINI – WAZIRI MKUU
     Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Kassim Majaliwa.
  • CUF KUANDAMANA KUPINGA UCHAGUZI WA MARUDIO VISIWANI ZANZIBAR
                      Kaimu Mwenyekiti wa Chama cha wananchi(CUF)hicho Saverina Mwijage. Chama cha wananchi (CUF) Bukoba kimejiandaa k...
  • NECTA YATANGAZA RASMI MATOKEO YA KIDATO CHA NNE.
    Baraza la mitihani Tanzania limetangaza matokeo ya mtihani wa kidato cha nne wa mwaka 2015 yanayoonesha kiwango cha ufaulu kushuka kwa a...
  • TAKUKURU YAANZA KUCHUNGUZA MABILIONI YA JAKAYA KIKWETE
    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (Takukuru), imeanza kuchunguza fedha za uwezeshaji maarufu kama ‘Mabilioni ya JK’ ambazo haziku...
  • MKUU WA MAJESHI AHAMASISHA VIJANA KUJIUNGA NA JKT
    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  Jenerali Venance Mabeyo amewahamasisha vijana kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa ili waweze kupata stadi za...
  • WAZIRI JAFO : ASTASHAHADA, STASHAHADA MSIZIPE KISOGO
      Waziri wa Nchi OR TAMISEMI Mhe. Seleman Jafo (Mb), akizungumza  wakati wa uzunduzi wa mnara wa kuenzi uzalendo wa Mhe. Rais wa awamu...

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ▼  2018 (289)
    • ▼  June (13)
      • HOFU, KUTOJIAMINI ZAPELEKEA UPOTEVU WA HAKI KWA WA...
      • VYUO 20 VYAFUTIWA USAJILI NA BARAZA LA TAIFA LA EL...
      • MFUMUKO WA BEI NCHINI WAENDELEA KUPUNGUA TOKA 3.8...
      • PM MAJALIWA - TUNA KAZI KUBWA YA KUELIMISHA JAMII ...
      • MKUU WA MAJESHI AHAMASISHA VIJANA KUJIUNGA NA JKT
      • MAKAMU WA RAIS ASHIRIKI KATIKA UZINDUZI WA UKUTA J...
      • KINARA WA UTEKAJI AUWAWA MKOANI GEITA
      • RAIS MAGUFULI AZINDUA AWAMU YA PILI YA PROGRAMU YA...
      • RAIS MAGUFULI AWAAPISHA MAJAJI WATATU LEO IKULU JI...
      • WANANCHI WA NYAKAGWE WAIOMBA SERIKALI KUWATENGENEZ...
      • PM MAJALIWA ATEMBELEA KIWANDA CHANGUO CHA URAFIKI ...
      • WAZIRI WA MIFUGO NA UVUVI AZINDUA WIKI YA MAZIWA N...
      • WANANCHI WASHIRIKIANA NA SERIKALI KUJENGA ZAHANATI...
    • ►  May (63)
    • ►  April (93)
    • ►  March (43)
    • ►  February (41)
    • ►  January (36)
  • ►  2017 (406)
    • ►  December (10)
    • ►  November (64)
    • ►  October (30)
    • ►  September (34)
    • ►  August (25)
    • ►  July (8)
    • ►  June (12)
    • ►  May (24)
    • ►  April (49)
    • ►  March (39)
    • ►  February (66)
    • ►  January (45)
  • ►  2016 (711)
    • ►  December (19)
    • ►  November (26)
    • ►  October (46)
    • ►  September (59)
    • ►  August (62)
    • ►  July (68)
    • ►  June (98)
    • ►  May (96)
    • ►  April (87)
    • ►  March (101)
    • ►  February (49)
Simple theme. Powered by Blogger.