88.9 STORM FM - GEITA

KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI. TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870

Pages

  • Home
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • BIASHARA NA UCHUMI
  • MICHEZO NA BURUDANI
  • AFYA
  • ELIMU

Thursday, 29 December 2016

MKUU WA MKOA WA GEITA AZINDUA ZOEZI LA UGAWAJI WA VITAMBULISHO MKOANI HUMO




Mkuu wa Mkoa wa Geita ,Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga akikabidhi vitambulisho vya watumishi kwa mwakilishi kutoka wilaya ya Mbongwe Bw,Paul Cheyo wakati wa zoezi la uzinduzi wa vitambulisho vya Taifa Mkoani Geita.




Mkuu wa Mkoa wa Geita ,Meja jenerali Mstaafu Ezekiel Kyunga,akionesha kitambulisho chake baada ya kukabidhiwa.
Read more »
Posted by Unknown at 12:07 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MSIBA WA MZEE MAARUFU WA CHATO ADMIRABILIS MBABE MANYAMA (82) CHATO MKOANI GEITA



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 29 Desemba, 2016 ameungana na wananchi wenzake Wilayani Chato mkoani Geita kutoa pole kutokana na kifo cha Mzee Admirabilis Mbabe Manyama ambaye ni mzee maarufu wilayani hapa na Mzee James Lufunga Mchele ambaye ni jirani yake.
Read more »
Posted by Unknown at 11:58 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Friday, 23 December 2016

SUMATRA YAUNDA KIKOSI KAZI KUDHIBITI UPANDISHAJI HOLELA WA NAULI KIPINDI CHA SIKUKUU ZA MWISHO WA MWAKA



Mamlaka ya Usimamizi wa Usafiri wa Majini na Nchi Kavu (SUMATRA) imeunda kikosi kazi maalum kwa ajili ya kudhibiti upandashaji holela wa  nauli kwa mabasi yaendayo mikoani wakati wa kipindi hiki cha sikukuu za mwisho wa mwaka.
Read more »
Posted by Unknown at 01:31 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Thursday, 22 December 2016

SERIKALI YASIMAMISHA SHUGHULI ZA MFUKO WA UENDELEZAJI WA ZAO LA KOROSHO



Serikali imesimamisha shughuli za Mfuko wa Wakfu wa Kuendeleza Zao la Korosho ili kupisha uchunguzi wa matumizi ya fedha za mfuko huo.
Read more »
Posted by Unknown at 02:09 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Tuesday, 20 December 2016

KIWANGO CHA PESA KESI ZA MAFISADI KUSHUSHWA CHINI ILI KUWABANA WENGI



Waziri wa Katiba na Sheria, Dk Harrison Mwakyembe amesema serikali inatarajia kujadili kushusha kiwango cha fedha kinachohusika katika makosa ya rushwa na uhujumu uchumi kwenye mahakama ya mafisadi ili kukomesha vitendo vya rushwa.
Read more »
Posted by Unknown at 02:12 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

WAZIRI MWIGULU NCHEMBA KUFUTA TAASISI ZINAZOHAMASISHA VITENDO VYA USHOGA






































Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mwigulu Nchemba ametaka apewe taarifa kuhusu taasisi na mashirika yasiyo ya kiserikali (NGO) wanaohamasisha au kutangaza ndoa za jinsia moja nchini ili azifutie usajili mara moja.
Read more »
Posted by Unknown at 02:11 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Saturday, 17 December 2016

PICHA: NAPE AFUNGUA MASHINDANO YA MICHEZO MBALIMBALI WILAYANI KARATU



Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akipiga baruti juu kuashiria ufunguzi rasmi wa mashindano ya michezo mbalimbali yanayofanyika Wilayani Karatu (Karatu Sports Festival).



Wanariadha wanaoshiriki mashindano ya michezo mbalimbali yanayofanyika Wilayani Karatu wakijandaa kuanza kukimbia wakati wa uzinduzi wa mashindano hayo uliofanywa na Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye Disemba 17/2016.





Waziri wa Habari Utamaduni Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye akisalimkia na baadhi ya washiriki wa mashindano ya michezo mbalimbali yanayofanyika Wilayani Karatu.

Posted by Unknown at 05:45 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Friday, 16 December 2016

BAADA YA DKT. MWELE MALECELA KUTUMBULIWA, PROF. YUNUS MGAYA ATEULIWA KUWA MKURUGENZI MKUU (NIMR)




Posted by Unknown at 23:45 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA TAASISI YA TAIFA YA UTAFITI WA MAGONJWA YA BINADAMU (NIMR)



Taarifa kutoka IKULU inasema Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli, tarehe 16 Desemba, 2016 ametengua uteuzi wa Mkurugenzi Mkuu wa Taasisi ya Taifa ya Utafiti wa Magonjwa ya Binadamu (NIMR) Dkt. Mwele Malecela.
Read more »
Posted by Unknown at 23:43 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Thursday, 15 December 2016

HUMPHREY POLEPOLE AELEZA MIKAKATI YAKE BAADA YA KUKABIDHIWA OFISI NA NAPE NNAUYE



Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Humphrey Polepole amesema atahakikisha chama hicho kinakuwa ni cha wanyonge na kuendelea kuwa kimbilio la wasio na sauti.
Read more »
Posted by Unknown at 11:31 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

DALADALA DODOMA ZAGOMA KUPINGA MANYANYASO



Zaidi ya mabasi 70 ya daladala yanayosafirisha abiria katika baadhi ya njia za manispaa ya Dodoma, yamegoma kutoa huduma kwa siku nzima ya leo kutokana na madai ya kunyanyaswa na askari wa usalama barabarani.
Read more »
Posted by Unknown at 11:24 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Wednesday, 14 December 2016

NAIBU WAZIRI MAVUNDE APOKEA TUZO ALIYOSHINDA MJASIRIAMALI JENIFA SHIGOLE



Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akizungumza na vyombo vya habari kuhusu Tuzo aliyoshinda Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole katika tuzo za African entrepreneurship Awards zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira na kujishindia mtaji wa dola laki moja na nusu.



Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akipokea cheti  alichoshinda Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole katika tuzo za African entrepreneurship Awards zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka mshindi wa kwanza na kujishindia mtaji wa dola laki moja na nusu.



Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akipokea Tuzo kutoka kwa Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole aliyoshinda katika tuzo za African entrepreneurship Awards zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira na kujishindia mtaji wa dola laki moja na nusu.



Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole Bi. Jenifer Shigole akiwaonyesha waandishi wa habari(hawapo pichani) tuzo aliyoshinda nchini Morocco na kufanikiwa kushika nafasi ya kwanza katika kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira na kujishindia mtaji wa dola moja na nusu. Kushoto ni Meneja wa Programu wa kampuni ya Malkia Investment Bw.Juma Rajabu.



Naibu Waziri, Ofisi ya Waziri Mkuu Kazi,Vijana na Ajira Mhe.Anthony Mavunde akipokea Tuzo kutoka kwa Mjasiriamali na Mkurugenzi wa kampuni ya Malkia Investment ltd Bi. Jenifer Shigole aliyoshinda katika tuzo za  za African entrepreneurship Awards zilizofanyika nchini Morocco na kuibuka mshindi wa kwanza katika kipengele cha masuala ya Elimu na Mazingira na kujishindia mtaji wa dola laki moja na nusu.Kulia ni Mkurugenzi Msaidizi Maendeleo ya Vijana Bi.Venerose Mtenga na wa kwanza kushoto ni Meneja wa Programu wa kampuni ya Malkia Investment Bw.Juma Rajabu.

Posted by Unknown at 08:25 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Tuesday, 13 December 2016

SERIKALI YA CHINA KUJENGA KIWANJA CHA KISASA CHALINZE



Serikali ya China imetoa ufadhili wa ujenzi wa uwanja wa Michezo kwa shule ya msingi Msoga iliyopo halmashauri ya wilaya ya Chalinze.
Read more »
Posted by Unknown at 00:58 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

PICHA: KAMPUNI MBALIMBALI ZILIVYOSHIRIKI MAONYESHO YA VIWANDA JIJINI DSM



Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwezeshaji Dkt. Adelhelm Meru akisikiliza maelezo kutoka kwa Mkurgenzi Mtendaji wa Wakala wa Vyuo vya Nje ya Nchi (GEL) Bw. Abdulmalik Mollel (kulia) alipotembelea banda la Wakala hiyo katika maonesho ya Viwanda vya Tanzania jana Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Wakala wa Maendeleo ya Biashara Tanzania (TANTARDE) Bw. Edwin Rutageruka


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwezeshaji Dkt. Adelhelm Meru akisikiliza maelezo kutoka kwa Kaimu Meneja wa Mamlaka ya Chakula na Dawa Tanzania (TFDA) Bw. James Ndege (watatu kutoka kushoto) alipotembelea maonesho ya Viwanda vya Tanzania yaliyomalizika jana katika viwanja vya Mwl. Nyerere (sabasaba) Jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Afisa Habari na Elimu kwa Umma wa Mamlaka hiyo Bi. Roberta Ferouz.





























Baadhi ya wananchi wakipata huduma katika banda la Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) walipotembelea maonesho ya Viwanda vya Tanzania jana Jijini Dar es Salaam.




Afisa Masoko wa Shirika la Kuthibiti Viwango Tanzania (TBS) Bi. Rhoda Mayugu akitoa maelezo kwa wananchi waliotembelea banda lao katika maonesho ya Viwanda vya Tanzania jana Jijini Dar es Salaam.


Katibu Mkuu wa Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwezeshaji Dkt. Adelhelm Meru akiangalia namna mashine ya kufyatulia matofali inavyofanya kazi alipotembelea mmoja ya banda katika maonseho ya Viwanda vya Tanzania jana Jijini Dar es Salaam.



Posted by Unknown at 00:53 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

KAHAMA OIL MILLS LIMITED YATOA AJIRA KWA WATU 600



Meneja Utawala na Uzalishaji wa Kampuni  ya Kahama Oil Mills Bw. Bryason Edward akipokea cheti cha ushiriki wa maonesho ya kwanza ya viwanda vya Tanzania kutoka kwa Katibu Mkuu waWizara ya Viwanda, Biashara na Uwezeshaji Dkt. Adelhelm Meru wakati wa hafla  ya kufunga maonesho hayo jana  jijini  Dar es Salaam.




Meneja Utawala na Uzalishaji wa Kampuni  ya Kahama Oil Mills Bw. Bryason Edward akishiriki hafla ya kufunga maonesho  ya kwanza  ya viwanda vya Tanzania yalio malizika katika viwanja vyaMwl. Nyerere (sabasaba) jana jijini Dar es Salaam.




Katibu Mkuu wa Wizara  ya Viwanda,  Biashara na Uwezeshaji Dkt. Adelhelm Meru akisikiliza maelezo kutoka kwa Meneja Utawala na Uzalishaji wa Kampuni ya Kahama Oil Mills Bw. Bryason Edward alipotembelea maonesho ya Viwanda vya Tanzania  jana Jijini Dar es Salaam . Kushoto ni Kaimu Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maendeleo  ya Biashara Tanzania (TANTARDE) Bw. Edwin  Rutageruka.
Read more »
Posted by Unknown at 00:48 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Monday, 12 December 2016

SALAAM ZA LOWASSA KATIKA SIKUKUU YA MAULID



Nachukua nafasi hii kuwatakia kheri na baraka waislam wote nchini katika kuadhimisha siku hii ya kuzaliwa kwa kiongozi wao Mtume Muhammad SAW.

Waislam kama walivyo watanzania wa dini nyingine wamekuwa nguzo muhimu katika kujenga amani, upendo na utulivu nchini kwetu, na hii yote ni kutokana na mafundisho ya kiongozi wao huyo.

Ni rai yangu kwa watanzania wote wakiwemo watawala kuwa tunapo sherehekea siku hii tutimize kwa vitendo mafundisho ya bwana Mtume ambaye ni mmoja wa mitume wa mwenyezi mungu kwa kuheshimiana, kuvumiliana na kupendana.

Edward Lowassa

Waziri mkuu Mstaafu na Mjumbe wa Kamati Kuu - Chadema.

Posted by Unknown at 02:26 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU MGENI RASMI UZINDUZI WA MPANGO WA KUZUIA UNYAYASAJI KIJINSIA



Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan anatarajia kuwa mgeni rasmi katika  uzinduzi wa Mpango wa Taifa wa Miaka Mitano (2017-22) wa Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake na Watoto.
Read more »
Posted by Unknown at 02:24 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Thursday, 8 December 2016

RAIS MAGUFULI AFANYA MABADILIKO KWENYE MIKOA NA WIZARA......AMTEUA OLE SENDEKA KUWA MKUU WA MKOA WA NJOMBE



Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli leo tarehe 07 Desemba, 2016 amefanya uteuzi wa Katibu Mkuu mmoja na Mkuu wa Mkoa mmoja na pia amefanya mabadiliko madogo katika Wizara na Mikoa kama ifuatavyo;
Read more »
Posted by Unknown at 01:23 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

TAARIFA KUHUSU SHEREHE YA MAADHIMISHO YA MIAKA 55 YA UHURU WA TANZANIA BARA TAREHE 9, DESEMBA 2016

Posted by Unknown at 01:21 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Wednesday, 30 November 2016

RWANDA YASHTUMIWA KUPANGA SHAMBULIZI LA KUTAKA KUMUUA MSAIDIZI WA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZIZA



Nchi ya Burundi imeishutumu Rwanda kwa madai ya kupanga kufanya majaribio ya kutaka kumuua msaidizi wa Rais Pierre Nkurunziza, Willy Nyamitwe.
Read more »
Posted by Unknown at 01:27 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Tuesday, 29 November 2016

WIZARA YA ELIMU YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOSAMBAA KUWA WANAFUNZI WA DIPLOMA KUTOJIUNGA NA VYUO VIKUU

                   
Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetoa ufafanuzi kwamba haijapiga marufuku watu wenye Stashahada wenye sifa kujiunga na vyuo vikuu badala yake walichokataza ni wanafunzi waliofeli kidato cha nne na cha sita kujiunga na vyuo vikuu bila kuwa na vyeti vyenye sifa.
Read more »
Posted by Unknown at 01:14 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

PICHA:WAZIRI NAPE KATIKA MAKABIDHIANO YA PICHA YA RAIS



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kabla ya makabidhiano ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli iliyochorwa na kikundi cha Angavu Youth Group  jijini Dar es Salaam. Picha hiyo imekabidhiwa kwa Waziri huyo  kwa niaba ya Mhe. Rais. kushoto ni Mwenyekiti wa Angavu Youth Group Bw. Athumani Salum na kulia ni Katibu wake Bi. Oliver Charles.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kulia) akisikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikisomwa na Katibu wa Angavu Youth Group Bi.Oliver Charles (katikati) wakati wa makabidhiano ya picha ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  jijini Dar es Salaam.



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kulia) akipokea picha ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutoka kwa Mwenyekiti wa Angavu Youth Group Athumani Salum (kulia)  jijjini Dar es Salaam. Picha hiyo imechorwa kwa ustadi na kikundi cha Angavu Youth Group.


Muonekano wa picha ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  iliyoichora kwa ustadi na kikundi cha Angavu Youth Group ambapo imekabidhiwa  jijini Dar es Salaam kwa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye kwa niaba ya Mheshimiwa Rais.



Posted by Unknown at 00:47 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

RAIS DKT.MAGUFULI AMWANDALIA RAIS EDGAR LUNGU DHIFA YA KITAIFA IKULU JIJINI DSM


 Rais Mstaafu wa awamu ya Pili AlhajAli Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.
  Rais Dkt John Pombe Magufuli na  Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu kwa dhifa hiyo ya kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.
 Meza kuu ikiwa imesimama kwa Wimbo wa Taifa
 Rais Dkt Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Edgar Lungu wa Zambia kusalimiana na viongozi mbalimbali
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi. Kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Naibu Spika Dkt Tulia Ackson
  
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe. Pius Msekwa

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bw. Gerson Msigwa akisherehesha hafla hiyo
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akigonganisha glasi na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan

 Wimbo wa Taifa 
 Viongozi wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa wa Zambia ukipigwa

 
 Viongozi wa vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na Mkuu wa Itifaki wa Zambia wakiwa wamesimama kwa wimbo wa Taifa 

 Sehemu ya Mawaziri waliohudhuria wakiwa wamesimama
 Viongozi wakiwa wamesimama
 Makatibu wakuu na sehemu ya ujumbe wa Zambia
 Wageni waalikwa na viongozi wa vyama vya siasa
 Baadhi ya mabalozi mbalimbali waliohudhuria
Wageni mbalimbali
 
 Mabalozi mbalimbali
 Mabalozi na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje 
Wafanyabiashara na viongozi wa taasisi mbalimbali
 
  Wafanyabiashara na viongozi wa taasisi mbalimbali na maafisa wa Wizara ya Mambo ya nje
 Viongozi wa taasisi mbalimbali
 Viongozi wa kidini na wageni mbalimbali

 Makatibu wakuu na Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace Mujuma

Rais Dkt Magufuli akigonganisha glasi na mgeni wake Rais Edgar Lungu wa Zambia
  
 Mrisho Mpoto na Banana Zorro na Mjomba band akitumbuiza

 Mrisho Mpoto akighani wimbo maalumu
 Rais Edgar Lungu akiagana na viongozi 
Rais Edgar Lungu akiagana na viongozi 
 
 Rais Edgar Lungu akiagana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein
Rais Edgar Lungu akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan
  
Rais Edgar Lungu akisindikizwa na mweyeji wake Rais Dkt Magufuli
 
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume wakiondoka baada ya dhifa
  

Rais Dkt. Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Rais Mstaafu Dkt.  Jakaya Mrisho kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakifurahia jambo mara baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es salaam.
Posted by Unknown at 00:36 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Posts Older Posts Home
Subscribe to: Posts (Atom)

Popular Posts

  • MIUNDOMBINU YA ELIMU NI TATIZO KUBWA SHULE ZA MSINGI MKOA WA GEITA.
    Kufuatia agizo  la  serikali la kutoa elimu bure kuanzia ngazi ya msingi hadi kidato cha 4, baadhi ya shule za msingi mkoani hapa ikiwemo...
  • YALIYOJIRI KATIKA KIKAO CHA SABA CHA MKUTANO WA SABA WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA LEO APRIL 13, 2017
    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Job Ndugai akiwasili katika ukumbi wa Bunge kuongoza kikao cha saba cha Mkutano wa...
  • YANGA MAJI YA SHINGO AFRIKA, YAAMBULIA SARE KWA MEDEAMA 1-1
    YANGA SC imekamilisha mechi za mzunguko wa kwanza wa Kundi A Kombe la Shirikisho Afrika bila ushindi, kufuatia kulazimishwa sare ya k...
  • HII NDIO REKODI YA YANGA NA AZAM KUANZIA 2008-2016
  • FOFANA AANZA MAJARIBIO AZAM, MNIGER ATUA
    WAKATI nyota kutoka nchini Ivory Coast Ibrahima Fofana, akianza majaribio leo, Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, Azam FC imempo...
  • PICHA: SPIKA JOB NDUGAI AUDHURIA MAZISHI YA ALIYEKUWA NAIBU WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA WILAYANI MPWAPWA MKOANI DODOMA.
    Spika wa Bunge, Mheshimiwa Job Ndugai (katikati)akiwasili katika Msiba wa familia ya Mbunge Mstaafu wa Mpwapwa Mjini Mhe. Gregory George ...
  • UVUVI HARAMU WAKOMESHWA WILAYANI CHATO MKOANI GEITA
    Mwenyekiti wa watunza mazalio na makulio ya samaki  Bashiri Manampa  kutoka  Mwaro wa Nyamilembe wilayani Chato mkoani Geita amewashukuru...
  • AFUKUZWA CCM KWA KUKIUKA MAADILI YA UMOJA WA VIJANA UVCCM.
    Halmashauri ya CCM Mkoa wa Geita imemvua ujumbe wa Mkutano Mkuu, Peter Mwininga baada ya kudaiwa kukiuka maadili ya Umoja wa Vijana (UVCC...
  • MKANDARASI WA KAMPUNI YA JASCO MKOANI GEITA ALALAMIKIWA NA WANANCHI WA MTAA WA JIMBONI KATA YA KALANGALALA
    Wananchi wa mtaa wa Jimboni katika kata ya Kalangalala mkoani hapa wamemlalamikia mkandarasi wa Jasco kwa kushindwa kumaliza ujenzi wa ...
  • RAIS MAGUFULI KUHUTUBIA MKUTANO WA HADHARA JUMAPILI WILAYANI KAHAMA
    Rais John Magufuli anatarajia kufanya ziara wilayani Kahama mkoani Shinyanga ambako atafanya mkutano wa hadhara kuwashukuru wananchi kwa...

Popular Posts

  • RAISI WA SUDAN KUSINI SALVA KIIR AWASILI NCHINI TANZANIA KWA ZIARA YA SIKU MOJA
    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Bi Mindi Kasiga amesema Rais Kiir anafanya ziara ya kikazi ya siku moja ambapo anatarajiwa kuwa na...
  • MANCHESTER UNITED YAMFUTA KAZI LOUIS VAN GAAL
    Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal amefutwa kazi kama mkufunzi wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa mkufunzi...
  • HOFU, KUTOJIAMINI ZAPELEKEA UPOTEVU WA HAKI KWA WANAWAKE GEITA
    Baadhi ya wadau wa kupinga ukatili wa kijinsia kwa mwanamke wakiwa kwenye kikao cha pamoja kilichokuwa kimelenga kujadili sera na sheria y...
  • VYUO 20 VYAFUTIWA USAJILI NA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
    Leo June 8, 2018  Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limefuta usajili wa vyuo 20 kwa kushindwa kufuata utaratibu wa usaji...
  • SHULE ZA SEKONDARI KIBONDO ZAONGOZA KWA UFAULU KITAIFA
    Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (Mb) akipokea Mwenge wa Uhuru baada ya kuwasili kwenye jimbo lake l...
  • MAHAFALI YA PILI NA TATU YA KIDATO CHA SITA WAJA SEKONDARI YAFANA MKOANI GEITA
    Wanafunzi wa Shule ya Sekondari ya Wasichana ya  WAJA  wakiwa kwenye msafara wa kuingia ukumbini kwaajili ya sherehe za kupongezwa kuhitim...
  • WALIMU SHULE YA MSINGI ISABILO WAGOMA KUFANYA KAZI
    Walimu  wa shule ya msingi Isabilo wilaya na Mkoa wa Geita wamegoma kufanya kazi tangu Januari 25 mwaka huu  kutokana  na kile kinachodaiw...
  • MFUMUKO WA BEI NCHINI WAENDELEA KUPUNGUA TOKA 3.8% HADI 3.6%
     Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephraim Kwesigabo akifafanua jambo alipokuwa...
  • MKUU WA MAJESHI AHAMASISHA VIJANA KUJIUNGA NA JKT
    Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi  Jenerali Venance Mabeyo amewahamasisha vijana kujiunga na Jeshi la Kujenga Taifa ili waweze kupata stadi za...
  • WATU 522 WAMEATHIRIKA NA UGONJWA WA KIFUA KIKUU (TB) MWAKA JANA WILAYANI GEITA
    Mganga Mkuu wa Mgodi wa dhahabu wa Geita(GGM) Kiva Mvungi,akizungumza na waandishi wa habari juu ya ushiri wa mgodi katika kutokomeza ugoj...

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2018 (289)
    • ►  June (13)
    • ►  May (63)
    • ►  April (93)
    • ►  March (43)
    • ►  February (41)
    • ►  January (36)
  • ►  2017 (406)
    • ►  December (10)
    • ►  November (64)
    • ►  October (30)
    • ►  September (34)
    • ►  August (25)
    • ►  July (8)
    • ►  June (12)
    • ►  May (24)
    • ►  April (49)
    • ►  March (39)
    • ►  February (66)
    • ►  January (45)
  • ▼  2016 (711)
    • ▼  December (19)
      • MKUU WA MKOA WA GEITA AZINDUA ZOEZI LA UGAWAJI WA ...
      • RAIS MAGUFULI ASHIRIKI MSIBA WA MZEE MAARUFU WA CH...
      • SUMATRA YAUNDA KIKOSI KAZI KUDHIBITI UPANDISHAJI H...
      • SERIKALI YASIMAMISHA SHUGHULI ZA MFUKO WA UENDELEZ...
      • KIWANGO CHA PESA KESI ZA MAFISADI KUSHUSHWA CHINI ...
      • WAZIRI MWIGULU NCHEMBA KUFUTA TAASISI ZINAZOHAMASI...
      • PICHA: NAPE AFUNGUA MASHINDANO YA MICHEZO MBALIMBA...
      • BAADA YA DKT. MWELE MALECELA KUTUMBULIWA, PROF. YU...
      • RAIS MAGUFULI ATENGUA UTEUZI WA MKURUGENZI MKUU WA...
      • HUMPHREY POLEPOLE AELEZA MIKAKATI YAKE BAADA YA KU...
      • DALADALA DODOMA ZAGOMA KUPINGA MANYANYASO
      • NAIBU WAZIRI MAVUNDE APOKEA TUZO ALIYOSHINDA MJASI...
      • SERIKALI YA CHINA KUJENGA KIWANJA CHA KISASA CHALINZE
      • PICHA: KAMPUNI MBALIMBALI ZILIVYOSHIRIKI MAONYESHO...
      • KAHAMA OIL MILLS LIMITED YATOA AJIRA KWA WATU 600
      • SALAAM ZA LOWASSA KATIKA SIKUKUU YA MAULID
      • MAKAMU WA RAIS SAMIA SULUHU MGENI RASMI UZINDUZI W...
      • RAIS MAGUFULI AFANYA MABADILIKO KWENYE MIKOA NA WI...
      • TAARIFA KUHUSU SHEREHE YA MAADHIMISHO YA MIAKA 55 ...
    • ►  November (26)
      • RWANDA YASHTUMIWA KUPANGA SHAMBULIZI LA KUTAKA KUM...
      • WIZARA YA ELIMU YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOSAMBAA KUW...
      • PICHA:WAZIRI NAPE KATIKA MAKABIDHIANO YA PICHA YA ...
      • RAIS DKT.MAGUFULI AMWANDALIA RAIS EDGAR LUNGU DHIF...
    • ►  October (46)
    • ►  September (59)
    • ►  August (62)
    • ►  July (68)
    • ►  June (98)
    • ►  May (96)
    • ►  April (87)
    • ►  March (101)
    • ►  February (49)
Simple theme. Powered by Blogger.