Mgodi wa dhahabu katika Kijiji cha Nyamtondo wilayani na mkoani Geita umefungwa baada ya raia wawili wa China kufariki ndani ya shimo lenye urefu wa zaidi ya mita 100 kwa kulipukiwa na baruti wakati wakivunja miamba.
KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI. TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870
Friday, 30 March 2018
MGODI ULIOUA WACHINA MKOANI GEITA WAFUNGWA
Mgodi wa dhahabu katika Kijiji cha Nyamtondo wilayani na mkoani Geita umefungwa baada ya raia wawili wa China kufariki ndani ya shimo lenye urefu wa zaidi ya mita 100 kwa kulipukiwa na baruti wakati wakivunja miamba.
NDEGE YA TANZANIA AINA YA BOMBARDIER Q400 ILIYOKUWA IMEZUILIWA NCHINI CANADA IMEKWISHAONDOKA KUJA NCHINI
Kwa Mujibu wa Mkurugenzi wa
Mawasiliano wa Ikulu, Gerson Msigwa amesema Ndege ya Tanzania iliyokuwa
inashikiliwa nchini Canada imeshaondoka nchini humo na inarejea Tanzania.
Msigwa ameandika hayo kupitia ukurasa wakwe wa mtandao wa kijamii wa Twitter
Pia Msigwa ameongeza kuwa Ndege 3 kubwa, Mbili aina ya Bombardier CS300 kutoka Canada na Moja Boeing 787-8 Dreamliner kutoka Marekani zitawasili baadae mwaka huu
"Ndege yetu aina ya Bombardier Q400 iliyokuwa imezuiliwa nchini Canada ilikwishaondoka Canada kuja Tanzania. Aidha, ndege kubwa nyingine 3 (2 Bombardier CS300 kutoka Canada & 1 Boeing 787-8 Dreamliner kutoka Marekani) zitawasili baadaye mwaka huu. Nawatakia Ijumaa Kuu njema."-Msigwa

Thursday, 29 March 2018
CAG AOMBA RADHI KUHUSU TAARIFA YA UKAGUZI ALIYOIWASILISHA KWA RAIS MAGUFULI
Mdhibiti na Mkaguzi
mkuu wa hesabu za serikali Profesa. Mussa Assad ameomba radhi wananchi na
serikali juu ya taarifa ya deni la taifa na kusema kuwa yalifanyika makosa ya
kimatamshi, deni hilo ni himilivu.
Profesa Assad ametoa
taarifa hiyo mjini Dodoma ambapo amesema deni halisi ni shilingi trillion 46.08
na ni himilivu hivyo anaomba radhi kwa usumbufu uliojitokeza kwa wananchi na
taasisi za serikali.
CAG wakati akitoa
ripoti hiyo kwa Rais John Pombe Magufuli kuhusu suala la muenendo wa deni la
taifa alidai kuwa deni la taifa si himilivu lakini kwa mujibu wa utafiti ambao
wamefanya wao CAG ameibuka na kuomba radhi na kusisitiza kuwa ripoti ya CAG ni
siri hadi itakapowasilishwa bungeni.
UHABA WA VYOO SHULE YA SEKONDARI LUBEMBELA WAWALIZA WANAFUNZI
BAADHI YA MAKAZI WILAYANI CHATO YAHARIBIWA NA MVUA
RC MASENZA AWAPONGEZA RDO KWA KUTATUA TATIZO LA MAJI KWENYE BAADHI YA VIJIJI VYA WILAYA YA MUFINDI NA KILOLO
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Nandala alipokuwa ameenda kuzindua mradi wa maji ambao utasaidia kupunguza changamoto ya maji na kuchochea maendeleo kwa wananchi ambao watakuwa wananufaika na mradi huo ulifadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la Rural Development Organization (RDO) Tanzania ambao makao makuu yao yapo Mdabulo Mufindi.
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akimtusha ndoo ya maji mmoja ya wananchi walihudhulia uzinduzi wa mradi maji ulifadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la Rural Development Organization (RDO) Tanzania
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiwa na mkurugenzi mtendaji wa shirika lisilo la kiserikali la Rural Development Organization (RDO) Tanzania Fidelis Filipatali wakibadilisha mawazo juu ya mradi huo ambao umegharibukiasi cha shilingi milioni tisini na tano,laki tano na elfu tatu mia moja ( 95,503,100)
Hapa ndio tank kubwa la mradi wa maji unaofadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la Rural Development Organization (RDO) Tanzania na
umegharibukiasi cha shilingi milioni tisini na tano,laki tano na elfu tatu mia moja ( 95,503,100)
Mkuu wa mkoa wa Iringa Amina Masenza akiwahutubia wananchi wa kijiji cha Nandala alipokuwa ameenda kuzindua mradi wa maji ambao utasaidia kupunguza changamoto ya maji na kuchochea maendeleo kwa wananchi ambao watakuwa wananufaika na mradi huo ulifadhiliwa na shirika lisilo la kiserikali la Rural Development Organization (RDO) Tanzania ambao makao makuu yao yapo Mdabulo Mufindi.
Wednesday, 28 March 2018
WANANCHI WATAKIWA KUNUNUA HISA NA HATI FUNGANI ILI KUNUFAIKA KIUCHUMI
![]() |
Baadhi ya wadau wakiwa kwenye mafunzo ya ununuzi wa hisa ambayo yamefanyika kwenye ukumbi wa maarifa ya Nyumbani Mjini Geita. |
![]() |
Meneja Mahusiano ya Umma wa CMSA Bw Charles Shirima akifundisha namna ya uwekezaji wa hisa. |
Serikali kupitia
mamlaka ya masoko ya dhamana na mitaji nchini ya Capital Markert and Securities
Authority, CMSA imesema ununuzi na uuzaji wa hisa na Hati fungani za makampuni
na serikali ni mbinu nzuri za kujiwekea akiba na kumfanya mtu kutajirika.
VIONGOZI WA KIKRISTO MKOANI GEITA WAHIMIZA AMANI NA UTULIVU KWENYE PASAKA
![]() |
Baadhi ya Viongozi wa
Kikristo mkoani Geita wamewataka Wakristo kusherehekea Sikukuu ya Pasaka kwa
amani na utulivu na kujiepusha na matendo maovu wakati wa sherehe hizo.
Padri Gerald Singu
ambaye ni Paroko wa Parokia ya Bikra Maria wa Fatima Geita, Mchungaji Gerson
Yoboka ambaye ni kiongozi mkuu wa kanisa Anglikana mkoani Geita na Mchungaji
Mathias Michael Kasente wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri, KKKT Usharika wa
Upendo wametoa kauli hiyo walipokuwa wakitoa ujumbe wao wa Pasaka kwa Waamini.
Wamesema ni vema
Wakristo wakabadilika na kuacha dhambi badala yake wafanye mambo ya kumpendeza
Mungu na kwamba baadhi ya watu wamekuwa wakipania kufanya matendo maovu katika
Sikukuu mbalimbali.
WATAALAM WA MADINI YA DHAHABU NCHI ZA UKANDA WA MAZIWA MAKUU (ICGLR) WAKUTANA ARUSHA
![]() |
Balozi Ambeyi Ligabo akifuatiwa na Mwenyekiti wa Mkutano, Service Julie kutoka Congo.
|
![]() |
Wataalam wa Madini ya Dhahabu kutoka Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu ICGLR wakiendelea na majadiliano
|
![]() |
Wataalam wa Madini ya Dhahabu kutoka Nchi za Ukanda wa Maziwa Makuu ICGLR wakiendelea na majadiliano Jijini Arusha.
|
JESHI LA POLISI MKOANI GEITA LAJIPANGA VIKALI DHIDI YA MAANDAMANO
JESHI LA POLISI MKOA WA GEITA LIPO IMARA KUDHIBITI UHALIFU NA MAANDAMANO APRILI 26
Jeshi la polisi
mkoani Geita , limewataka wananchi katika kuelekea siku
kuu ya pasaka pamoja na uzinduzi wa mwenge Kitaifa, kujiepusha na vitendo vya
uvunjifu wa amani ikiwa ni pamoja na wazazi kuhakikisha usalama na watoto
wanapokuwa kwenye maeneo ya barabara na mitaani.
Monday, 26 March 2018
UVCCM GEITA YAWAKUTANISHA WATU WENYE ULEMAVU WANAWAKE NA VIJANA KUJADILI ASILIMIA 10 ZINAZOTOLEWA NA HALMASHAURI
Wajumbe wa mkutano ambao ulikuwa umelenga kutoa ufafanuzi juu ya asilimi 10 ambazo zinatolewa na halmashauri kwa wanawake,vijana pamoja na walemavu Wilayani Geita. |
Katibu wa UWT,Bi Mazoea Salum akielezea akisoma mapendekezo ambayo wameyaadhimia kwenye Kikao hicho. |
Katibu wa chama cha mapinduzi(CCM) Wilaya ya Geita,Julius Peter Akizungumza na wajumbe kwenye mkutano huo. |
Mkuu wa wilaya ya Geita,Mwl Herman Kapufi ambaye alikuwa ni mgeni rasmi kwenye Kongamano hilo akisisitiza suala la uanzishwaji wa viwanda vidogo kwenye vikundi. |
Mwenyekiti wa UVCCM wilaya ya Geita,Manjale Magambo akielezea umuhimu wa fedha asilimia 10 ambazo zimekuwa zikitolewa na halmashauri kwa vikundi vya vijana ,wanawake na walemavu. |
WAWEKEZAJI WAZAWA WAPEWA RAI KUJENGA VIWANDA VYA DAWA
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akibadilishana mawazo na Mwakilishi wa Global Fund
Linden Morrison wakati wa hafla ya kukabidhi magari 181 yatakayokuwa
yakisafirisha vifaa tiba na vitendanishi katika Mikoa na Halmashauri
mbalimbali nchini. Hafla hiyo ilifanyika leo Jumatatu Machi 26, 2018
katika Ofisi za MSD Keko Mwanga Jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akiteta jambo na Waziri wa wa Afya, Maendeleo ya
Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu wakati wa hafla ya kukabidhi
magari 181 yatakayokuwa yakisafirisha vifaa tiba na vitendanishi katika
Mikoa na Halmashauri mbalimbali nchini. Hafla hiyo ilifanyika leo Jumatatu
Machi 26, 2018 katika Ofisi za MSD Keko Mwanga Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Bohari Kuu ya Madawa, Laurean Bwanakunu akizungumza wakati wa hafla
ya kukabidhi magari 181 yatakayokuwa yakisafirisha vifaa tiba na
vitendanishi katika Mikoa na Halmashauri mbalimbali nchini. Hafla hiyo
ilifanyika leo Jumatatu Machi 26, 2018 katika Ofisi za MSD Keko Mwanga
Jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi
Mkuu wa Bohari Kuu ya Madawa, Laurean Bwanakunu akizungumza wakati wa
hafla ya kukabidhi magari 181 yatakayokuwa yakisafirisha vifaa tiba na
vitendanishi katika Mikoa na Halmashauri mbalimbali nchini. Hafla hiyo ilifanyika
leo Jumatatu Machi 26, 2018 katika Ofisi za MSD Keko Mwanga Jijini Dar es
Salaam.
Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi magari 181 yatakayokuwa
yakisafirisha vifaa tiba na vitendanishi katika Mikoa na Halmashauri
mbalimbali nchini. Hafla hiyo ilifanyika leo Jumatatu Machi 26, 2018
katika Ofisi za MSD Keko Mwanga Jijini Dar es Salaam
Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, Ummy Mwalimu
akizungumza wakati wa hafla ya kukabidhi magari 181 yatakayokuwa
yakisafirisha vifaa tiba na vitendanishi katika Mikoa na Halmashauri
mbalimbali nchini. Hafla hiyo ilifanyika leo Jumatatu Machi 26, 2018
katika Ofisi za MSD Keko Mwanga Jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akiteta jambo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul
Makonda wakati wa hafla ya
kukabidhi magari 181 yatakayokuwa yakisafirisha vifaa tiba na vitendanishi
katika Mikoa na Halmashauri mbalimbali nchini. Hafla hiyo ilifanyika leo
Jumatatu Machi 26, 2018 katika Ofisi za MSD Keko Mwanga Jijini Dar es
Salaam.
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akizungumza wakati wa hafla ya magari 181 yatakayokuwa yatayosafirisha
vifaa tiba na vitendanishi katika Mikoa na Halmashauri mbalimbali nchini.
Hafla hiyo ilifanyika leo Jumatatu Machi 26, 2018 katika Ofisi za MSD Keko
Mwanga Jijini Dar es Salaam.

Mwanga Jijini Dar es Salaam
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akikata utepe kuashiria uzinduzi wa magari 181
yatakayokuwa yatayosafirisha vifaa tiba na vitendanishi katika Mikoa na
Halmashauri mbalimbali nchini. Hafla hiyo ilifanyika leo Jumatatu Machi
26, 2018 katika Ofisi za MSD Keko Mwanga Jijini Dar es Salaam
Naibu
Waziri wa Afya, Maendeleo ya Jamii,. Jinsia, Wazee na Watoto
akibadilishana mawazo na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda
wakati wa hafla ya kukabidhi magari 181 yatakayokuwa yakisafirisha vifaa
tiba na vitendanishi katika Mikoa na Halmashauri mbalimbali nchini. Hafla
hiyo ilifanyika leo Jumatatu Machi 26, 2018 katika Ofisi za MSD Keko
Mwanga Jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akishuka katika moja ya magari 181 yatakayokuwa
yakisafirisha vifaa tiba na vitendanishi katika Mikoa na Halmashauri
mbalimbali nchini. Hafla hiyo ilifanyika leo Jumatatu Machi 26, 2018
katika Ofisi za MSD Keko Mwanga Jijini Dar es Salaam.
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akiwa pamoja na Mwakilishi wa Global Fund na Waziri wa
Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto wakati wa hafla ya
kukabidhi magari 181 yatakayokuwa yakisafirisha vifa tiba na vitendanishi
katika Mikoa na Halmashauri mbalimbali nchini. Hafla hiyo ilifanyika leo
Jumatatu Machi 26, 2018 katika Ofisi za MSD Keko Mwanga Jijini Dar es
Salaam.
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli na Mwakilishi Mkazi wa Global Fund, Linden Morrison
wakifurahia jambo na wafanyakazi wa Bohari Kuu ya Madawa (MSD) mara baada
ya kukabidhi magari 181 yatakayokuwa yakisafirisha vifa tiba na
vitendanishi katika Mikoa na Halmashauri mbalimbali nchini. Hafla hiyo
ilifanyika leo Jumatatu Machi 26, 2018 katika Ofisi za MSD Keko Mwanga Jijini
Dar es Salaam.
Rais Dkt.
John Pombe Magufuli akikagua baadhi ya magari 181 yatakayokuwa
yakisafirisha vifa tiba na vitendanishi katika Mikoa na Halmashauri
mbalimbali nchini. Hafla hiyo ilifanyika leo Jumatatu Machi 26, 2018
katika Ofisi za MSD Keko Mwanga Jijini Dar es Salaam
Friday, 23 March 2018
WANANCHI WALIA NA MKANDARASI WA BARABARA GEITA
![]() |
Barabara inayotoka amerikani Chips Kuelekea Jimboni ikiwa kwenye hatua za awali za ujenzi. |
Mkuu wa mkoa wa Geita,Mhandisi Robert Luhumbi akisisitiza suala la mkandarasi kushindwa kutekeleza ujenzi wa Barabara kwa wakati. |
![]() |
Baadhi ya maeneo ambayo wananchi wameendelea kulalamika kuathiriwa na mvua kutokana na kifusi ambacho kimewekwa na mkandarasi kwenye Barabara ya Amerikani Chips inayoenda Jimboni. |
![]() |
Bi,Getruda Daud ambaye ni mkazi wa Katundu akilalamika namna ambavyo wameendelea kupata shida kutokana na kushindwa kukamilika kwa ujenzi wa Barabara pamoja na daraja. |
![]() |
Baadhi ya wananchi wakiangaika kuvuka kwenye kidaraja kidogo kutokana na kushindwa kukamilika kwa Daraja. |
![]() |
Nyumba ikiwa imeenea maji kutokana na kifusi ambacho kimelalamikiwa na wananchi. |
Subscribe to:
Posts (Atom)