88.9 STORM FM - GEITA

KUHABARISHA NA KUFAHAMISHA KUHUSU HABARI NA MAMBO YANAYOENDELEA KATIKA JAMII YA GEITA, KANDA YA ZIWA, TAIFA NA DUNIANI. TUTUMIE HABARI AU WASILIANA NASI KUPITIA info@stormfm.co.tz au +255 685 883 870

Pages

  • Home
  • KITAIFA
  • KIMATAIFA
  • BIASHARA NA UCHUMI
  • MICHEZO NA BURUDANI
  • AFYA
  • ELIMU

Wednesday, 30 November 2016

RWANDA YASHTUMIWA KUPANGA SHAMBULIZI LA KUTAKA KUMUUA MSAIDIZI WA RAIS WA BURUNDI PIERRE NKURUNZIZA



Nchi ya Burundi imeishutumu Rwanda kwa madai ya kupanga kufanya majaribio ya kutaka kumuua msaidizi wa Rais Pierre Nkurunziza, Willy Nyamitwe.
Read more »
Posted by Unknown at 01:27 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Tuesday, 29 November 2016

WIZARA YA ELIMU YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOSAMBAA KUWA WANAFUNZI WA DIPLOMA KUTOJIUNGA NA VYUO VIKUU

                   
Wizara ya Elimu, Sayansi, Teknolojia na Mafunzo ya Ufundi imetoa ufafanuzi kwamba haijapiga marufuku watu wenye Stashahada wenye sifa kujiunga na vyuo vikuu badala yake walichokataza ni wanafunzi waliofeli kidato cha nne na cha sita kujiunga na vyuo vikuu bila kuwa na vyeti vyenye sifa.
Read more »
Posted by Unknown at 01:14 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

PICHA:WAZIRI NAPE KATIKA MAKABIDHIANO YA PICHA YA RAIS



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Nape Moses Nnauye (katikati) akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani) kabla ya makabidhiano ya picha ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli iliyochorwa na kikundi cha Angavu Youth Group  jijini Dar es Salaam. Picha hiyo imekabidhiwa kwa Waziri huyo  kwa niaba ya Mhe. Rais. kushoto ni Mwenyekiti wa Angavu Youth Group Bw. Athumani Salum na kulia ni Katibu wake Bi. Oliver Charles.


Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kulia) akisikiliza kwa makini hotuba iliyokuwa ikisomwa na Katibu wa Angavu Youth Group Bi.Oliver Charles (katikati) wakati wa makabidhiano ya picha ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  jijini Dar es Salaam.



Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye (kulia) akipokea picha ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli kutoka kwa Mwenyekiti wa Angavu Youth Group Athumani Salum (kulia)  jijjini Dar es Salaam. Picha hiyo imechorwa kwa ustadi na kikundi cha Angavu Youth Group.


Muonekano wa picha ya Mhe. Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli  iliyoichora kwa ustadi na kikundi cha Angavu Youth Group ambapo imekabidhiwa  jijini Dar es Salaam kwa Waziri wa Habari,Utamaduni,Sanaa na Michezo Mhe.Nape Moses Nnauye kwa niaba ya Mheshimiwa Rais.



Posted by Unknown at 00:47 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

RAIS DKT.MAGUFULI AMWANDALIA RAIS EDGAR LUNGU DHIFA YA KITAIFA IKULU JIJINI DSM


 Rais Mstaafu wa awamu ya Pili AlhajAli Hassan Mwinyi,Rais Mstaafu wa Awamu ya nne Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.
 Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt Ali Mohamed Shein, Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan na Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa wakielekea kwenye dhifa ya kitaifa iliyoandaliwa na Rais Dkt John Pombe Magufuli kwa heshima ya Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.
  Rais Dkt John Pombe Magufuli na  Rais wa Jamhuri ya Zambia Mhe. Edgar Lungu katika ukumbi wa Ikulu kwa dhifa hiyo ya kitaifa aliyomwandalia mgeni wake Ikulu jijini Dar es salaam usiku huu.
 Meza kuu ikiwa imesimama kwa Wimbo wa Taifa
 Rais Dkt Magufuli akimsindikiza mgeni wake Rais Edgar Lungu wa Zambia kusalimiana na viongozi mbalimbali
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi. Kulia ni Naibu Spika Dkt Tulia Ackson
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete
Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Naibu Spika Dkt Tulia Ackson
  
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Spika Mstaafu Mhe. Pius Msekwa

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Jaji Mkuu wa Tanzania Mhe. Mohamed Chande Othman

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt Amani Abeid Karume

 Rais Edgar Lungu wa Zambia akisalimiana na Waziri Mkuu Mstaafu Jaji Joseph Sinde Warioba
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu Bw. Gerson Msigwa akisherehesha hafla hiyo
 
 Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akihutubia
 Rais Edgar Lungu wa Zambia akigonganisha glasi na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan

 Wimbo wa Taifa 
 Viongozi wakiwa wamesimama wakati wimbo wa Taifa wa Zambia ukipigwa

 
 Viongozi wa vikosi vya ulinzi na usalama pamoja na Mkuu wa Itifaki wa Zambia wakiwa wamesimama kwa wimbo wa Taifa 

 Sehemu ya Mawaziri waliohudhuria wakiwa wamesimama
 Viongozi wakiwa wamesimama
 Makatibu wakuu na sehemu ya ujumbe wa Zambia
 Wageni waalikwa na viongozi wa vyama vya siasa
 Baadhi ya mabalozi mbalimbali waliohudhuria
Wageni mbalimbali
 
 Mabalozi mbalimbali
 Mabalozi na maafisa wa Wizara ya Mambo ya Nje 
Wafanyabiashara na viongozi wa taasisi mbalimbali
 
  Wafanyabiashara na viongozi wa taasisi mbalimbali na maafisa wa Wizara ya Mambo ya nje
 Viongozi wa taasisi mbalimbali
 Viongozi wa kidini na wageni mbalimbali

 Makatibu wakuu na Balozi wa Tanzania nchini Zambia Mhe. Grace Mujuma

Rais Dkt Magufuli akigonganisha glasi na mgeni wake Rais Edgar Lungu wa Zambia
  
 Mrisho Mpoto na Banana Zorro na Mjomba band akitumbuiza

 Mrisho Mpoto akighani wimbo maalumu
 Rais Edgar Lungu akiagana na viongozi 
Rais Edgar Lungu akiagana na viongozi 
 
 Rais Edgar Lungu akiagana na Rais wa Zanzibar Dkt Ali Mohamed Shein
Rais Edgar Lungu akiagana na Makamu wa Rais Mhe. Samia Suluhu Hassan
  
Rais Edgar Lungu akisindikizwa na mweyeji wake Rais Dkt Magufuli
 
Rais Mstaafu Alhaj Ali Hassan Mwinyi na Rais Mstaafu wa Zanzibar Dkt. Amani Abeid Karume wakiondoka baada ya dhifa
  

Rais Dkt. Magufuli, Makamu wa Rais Mhe Samia Suluhu Hassan, Waziri Mkuu Mhe. Kassim Majaliwa, Rais Mstaafu Dkt.  Jakaya Mrisho kikwete na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi wakifurahia jambo mara baada ya dhifa hiyo ya Kitaifa Ikulu jijini Dar es salaam.
Posted by Unknown at 00:36 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest

Sunday, 27 November 2016

AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHENI KWA MAAFISA WANAFUNZI KUNDI LA 59/15 IKULU JIJINI DSM







Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akitunuku kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 26, 2016





Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akikagua gwaride la heshima linaloundwa na Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) kabla hajawatunuku kamisheni katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 26, 201





Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiweka saini kwenye hati  ya  kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) kabla hajawatunuku katika viwanja vya Ikulu jijini Dar es salaam Novemba 26, 201


Amiri Jeshi Mkuu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Joseph Magufuli akiongea baada ya kutunuku  kamisheni kwa Maafisa Wanafunzi wa Kundi la 59/15 wa Jeshi la Wananchi la Tanzania (JWTZ) katika ukumbi wa mikutano wa Ikulu jijini Dar es salaam  Novemba 26, 201



Posted by Unknown at 07:44 No comments:
Email ThisBlogThis!Share to XShare to FacebookShare to Pinterest
Newer Posts Older Posts Home
Subscribe to: Comments (Atom)

Popular Posts

  • DKT. MWIGULU, WATENDAJI WAKUU WA WIZARA YAKE, WAFANYA KIKAO CHA MAANDALIZI YA KUWASILISHA BAJETI BUNGENI, JIJINI DODOMA KESHO
    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Dk. Mwigulu Nchemba akitoa Maelekezo kwa Watendaji Wakuu wa Wizara yake wakati wa Kikao cha Mapitio y...
  • WAZIRI NAPE NNAUYE ATOA TAMKO DHIDI YA MECHI ILIYOFANYIKA JANA KATI YA SIMBA NA YANGA
    Waziri wa Habari Utamaduni sanaa na Michezo Mhe Nape Moses Nnauye akizungumza na waandishi wa habari kuhusu uamuzi wa Serikali kuzuia t...
  • WATATU WAKAMATWA KATIKA MSITU ULIOHIFADHIWA WAKIKATA MITI
    Watu watatu wakazi wa  mamlaka ya mji mdogo wa katoro wilayani na mkoani Geita wamekamatwa baada ya kukutwa katika msitu ambao umezuiwa k...
  • PICHA: NAIBU SPIKA WA BUNGE AKUTANA NA UGENI KUTOKA JHPIEGO
    Naibu Spika wa Bunge, Mheshimiwa Dkt. Tulia Ackson (kulia) akisalimiana na Mkurugenzi Mkazi wa JHPIEGO nchini Tanzania Ndg. Jeremie ...
  • TANESCO KIGOMA YADAIWA MILLIONI 49 NA TEMESA
    MtendajiMkuuwaWakalawaUfundinaUmeme TEMESA Dkt. MussaMgwatu ( kushoto) akizungumza na Meneja wa TEMESA Kigoma Mhandisi Hassan Karonda (ku...
  • MHE.KIGWANGALLA AZINDUA RIPOTI YA WATOTO LEO MJINI DODOMA
    Mkurugenzi  wa Watoto Bi Margareth Mussai akiwa na wabunge wa Viti Maalum Bi Fatma Taufiq, Kiteto Koshuma na Bi.Suzan Lyimo katika kongam...
  • UCHUMI WA TANZANIA WAIMARIKA ZAIDI
    Waziri wa Fedha na Mpango Mhe.Dr.Philip Mpango akiwaonyesha waandishi wa Habari mkoba wenye hotuba ya bajeti ya Serikali kwa mwaka 2017/...
  • MTOTO AKAMATWA NA NOTI BANDIA YA ELFU KUMI MKOANI GEITA
    Mtoto wenye umri wa miaka 11 anaetambulika kwa jina la Emmanuel Metusela mkazi wa mji mdogo wa Katoro wilayani na mkoani Geita ameshikili...
  • WATANZANIA WAHIMIZWA KUZINGATIA USAWA WA KIJINSIA KATIKA SEKTA YA KILIMO
    Mkurugenzi Mtendaji wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo LAND O’ LAKES Dkt. Rose Kingamkono akizungumza na waandishi wa habari (hawapo p...
  • WAZIRI KALEMANI AMWASHIA MOTO MKANDARASI ANAYESAMBAZA UMEME VIJIJI
    Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa jimbo la Chato,Dk Medard Kalemani akitoa maagizo ya utekelezaji wa usambazaji wa umeme kwenye ma...

Popular Posts

  • HOFU, KUTOJIAMINI ZAPELEKEA UPOTEVU WA HAKI KWA WANAWAKE GEITA
    Baadhi ya wadau wa kupinga ukatili wa kijinsia kwa mwanamke wakiwa kwenye kikao cha pamoja kilichokuwa kimelenga kujadili sera na sheria y...
  • VYUO 20 VYAFUTIWA USAJILI NA BARAZA LA TAIFA LA ELIMU YA UFUNDI (NACTE)
    Leo June 8, 2018  Baraza la Taifa la Elimu ya Ufundi (NACTE) limefuta usajili wa vyuo 20 kwa kushindwa kufuata utaratibu wa usaji...
  • RAISI WA SUDAN KUSINI SALVA KIIR AWASILI NCHINI TANZANIA KWA ZIARA YA SIKU MOJA
    Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Nje Bi Mindi Kasiga amesema Rais Kiir anafanya ziara ya kikazi ya siku moja ambapo anatarajiwa kuwa na...
  • PM MAJALIWA - TUNA KAZI KUBWA YA KUELIMISHA JAMII KUHUSU FISTULA
    Makamu wa Rais, Samia Suluhu Hassan amesema bado kuna kazi kubwa kuhakikisha jamii inafikishiwa ujumbe kuhusu tatizo la fistula na at...
  • MANCHESTER UNITED YAMFUTA KAZI LOUIS VAN GAAL
    Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal amefutwa kazi kama mkufunzi wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa mkufunzi...
  • SHULE ZA SEKONDARI KIBONDO ZAONGOZA KWA UFAULU KITAIFA
    Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye (Mb) akipokea Mwenge wa Uhuru baada ya kuwasili kwenye jimbo lake l...
  • MFUMUKO WA BEI NCHINI WAENDELEA KUPUNGUA TOKA 3.8% HADI 3.6%
     Mkurugenzi wa Sensa ya Watu na Takwimu za Jamii kutoka Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS), Ephraim Kwesigabo akifafanua jambo alipokuwa...
  • WALIMU SHULE YA MSINGI ISABILO WAGOMA KUFANYA KAZI
    Walimu  wa shule ya msingi Isabilo wilaya na Mkoa wa Geita wamegoma kufanya kazi tangu Januari 25 mwaka huu  kutokana  na kile kinachodaiw...
  • KINARA WA UTEKAJI AUWAWA MKOANI GEITA
    Mtu mmoja anayejulikana kwa majina ya Panda Kinasa mwenye miaka 36 anayetuhumiwa kuwa kinara wa utekaji  watu ameuwawa kwa kupigwa na risa...
  • WANANCHI WA NYAKAGWE WAIOMBA SERIKALI KUWATENGENEZEA DARAJA
    Baadhi ya wananchi wa Kijiji cha Nyakagwe wakivuka Mto kwa kuvua viatu kutokana na kukosekana kwa daraja kwenye eneo hilo. Mwan...

About Me

Unknown
View my complete profile

Blog Archive

  • ►  2018 (289)
    • ►  June (13)
    • ►  May (63)
    • ►  April (93)
    • ►  March (43)
    • ►  February (41)
    • ►  January (36)
  • ►  2017 (406)
    • ►  December (10)
    • ►  November (64)
    • ►  October (30)
    • ►  September (34)
    • ►  August (25)
    • ►  July (8)
    • ►  June (12)
    • ►  May (24)
    • ►  April (49)
    • ►  March (39)
    • ►  February (66)
    • ►  January (45)
  • ▼  2016 (711)
    • ►  December (19)
    • ▼  November (26)
      • RWANDA YASHTUMIWA KUPANGA SHAMBULIZI LA KUTAKA KUM...
      • WIZARA YA ELIMU YAKANUSHA TAARIFA ZINAZOSAMBAA KUW...
      • PICHA:WAZIRI NAPE KATIKA MAKABIDHIANO YA PICHA YA ...
      • RAIS DKT.MAGUFULI AMWANDALIA RAIS EDGAR LUNGU DHIF...
      • AMIRI JESHI MKUU RAIS DKT MAGUFULI ATUNUKU KAMISHE...
      • WAZIRI WA MICHEZO NAPE NNAUYE AKATAA MAMLUKI SHIMMUTA
      • WAZIRI WA UJENZI PROF MAKAME MBARAWA ATEMBELEA TE...
      • TANESCO KIGOMA YADAIWA MILLIONI 49 NA TEMESA
      • TANZANIA KUENDELEA KUSIMAMIA HISTORIA YA UKOMBOZI ...
      • ASILIMIA 75 YA WATANZANIA KUNUFAIKA NA HUDUMA YA U...
      • WAZIRI NAPE :HATUJAMTELEKEZA MISS TANZANIA
      • WAZIRI NAPE AAHIDI MAGEUZI KATIKA MASHINDANO YA UR...
      • PICHA:SPIKA NDUGAI ALIVYOSHIRIKI MAZISHI YA MAREHE...
      • MWILI WA WAZIRI WA ZAMANI WA ELIMU, JOSEPH MUNGAI ...
      • PAC YAISHAURI SERIKALI KUANZISHA MFUKO WA UWEKEZAJI
      • SERIKALI KUKIBORESHA CHUO CHA OLMOTONYI
      • SERIKALI YAZITAKA TAASISI ZA HAKI ZA BINADAMU AFRI...
      • MATUMIZI YA TOVUTI YAZIDI KUPANUA WIGO WA UTOAJI W...
      • MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI...
      • WANANCHI WILAYANI GEITA WAOMBWA KUENDELEA KUCHANGI...
      • BODI YA PAMBA KUHAMIA JIJINI MWANZA
      • ASKARI 152 WAFUKUZWA KAZI NCHINI
      • RAIS MAGUFULI ATUMA SALAMU ZA RAMBIRAMBI KWA SPIKA...
      • SAMWEL SITTA AFARIKI DUNIA
      • PICHA:YALIYOJIRI BUNGENI MJINI DODOMA LEO ASUBUHI
      • MATUKIO KATIKA PICHA YALIYOJIRI BUNGENI HII LEO MJ...
    • ►  October (46)
    • ►  September (59)
    • ►  August (62)
    • ►  July (68)
    • ►  June (98)
    • ►  May (96)
    • ►  April (87)
    • ►  March (101)
    • ►  February (49)
Simple theme. Powered by Blogger.