Thursday 18 August 2016

UKOSEFU WA DAMU KATIKA HOSPITALI YA RUFAA YA MKOANI GEITA BADO NI CHANGAMOTO

Tatizo La Uhaba Wa Damu Katika Hospitali Ya Rufaa Mkoa Wa Geita Bado Ni Tatizo Kwani Inakabiliwa Naupungufu Wa Benki Ya Damu Ambapo Kwa Mwezi Huhitaji Yuniti zipatazo 300

Huku Kukiwepo Na Mwamko Mdogo Wa Uchangiaji Damu Hususani Kwa Vijana Unahotokana Na Kundi Hilo Kuto Jiamini Afya Zao Na Hivyo Kuogopa Kujitolea
Hali Hiyo Imechangia Uhaba Mkubwa Katika Banki Ya Damu Katika Hospitali Yarufaa Mkoa Wa Geita Ambapo Uhitaji Wake Kwa Siku Ni Chupa Za Damu 30 Na Yuniti Zaidiya 300.

No comments:

Post a Comment