| Wakina dada wakionesha shughuli Pevu stejini kwenye show kabambe iliyoandaliwa na 88.9 Storm fm |
| "Watu hoyooooooooooooooooooooooooooo" |
| Dj,KG kutoka 88.9 Storm fm akisababisha kwenye moja na mbili. |
| Wasema chochote kwenye Shughuli Baby Mama Pamoja na Idrissa Salum Mwanakwetu wakiendelea kukinukisha zaidi. |
| "Nimetembee tembee nimeikuta hadithi hadithiii yaaaa hadithi yaheee Mama" |
| Bi,Jokha Kassimu akitumbuhiza zaidi. |
No comments:
Post a Comment