Monday 15 February 2016

MATUKIO KATIKA PICHA KULE NEEMA HOUSE.


Katika kufanikisha zoezi la kuwasaidia watoto wenye uhitaji kule NEEMA HOUSE siku ya jana katika sikukuu ya valentine day,Shukrani za dhati kwa wote waliofanikisha zoezi hili.

Mkurugenzi mtendaji akiwa na mmoja wa watoto wa NEEMA HOUSE.

Mkuu wa mkoa wa Geita(kshoto),mkurugenzi mtendaji wa stormfm(kati),Mkuu wa wilaya ya Geita(kulia) pamoja na wageni na watoto wa NEEMA HOUSE.


                                 Baadhi ya wafanyakazi wa stormfm wakiwa na watoto

Meneja mtendaji wa stormfm akiwa na watoto.

Mkuu wa Mkoa,mkuu wa wilaya,watoto pamoja na watu waliohudhuria katika kuwasaidia watoto.


No comments:

Post a Comment